skip to Main Content
+255-716-581-629 v.pius.pv@gmail.com
Umuhimu Wa Brand Kwenye Biashara Yako?

Umuhimu wa Brand kwenye Biashara yako?

Brand ni nini? Ni kitu chochote kinachoweza kuwakilisha huduma unayotoa au bidhaa unayouza na kukutofautisha na wengine katika soko la biashara.Brand yako inaweza kuwakilishwa kwa vitu tofauti mfano Logo,Jina n.k

Branding ni kitendo cha kutengeneza kitu ambacho kitaweza kuwakilisha huduma unayoitoa kwenye jamii unayoilenga.

Vitu muhimu vya kuzingatia unapotaka kutengeneza BRAND yako

 1. Jua Lengo la Hudumu unayotoa.
 2. Tambua umuhimu na manufaa ya hiyo hudumu kwa wateja wako.
 3. Tambua Mahitaji na matakwa ya wateja wako.
 4. Tambua na zingatia Ubora wa huduma unayoitoa au unayotaka kuwapatia wateja wako.

Hivyo vitu muhimu tajwa hapo juu vitaweza kutimizika kwa kufanya utafiti wa kina kwa kujua mahitaji,tabia na matarajio ya wateja wako.

Brand inaweza kuwakilishwa na vitu vifuatavyo;

 1. Design Style (eg. logo, colors, typography, and packaging)
 2. Website and Marketing
 3. Storefront
 4. Social Media Presence
 5. Customer Service
 6. Environment and Company Culture
 7. Taglines and Slogans
 8. Product Quality and Pricing
 9. Philosophy and Overall “Personality”

Faida za Branding kwenye Biashara

 1. Wateja watakutambua ki urahisi
 2. Wateja watakuamini ki urahisi
 3. Wateja watajiamini na kutumia huduma unayoitoa
 4. Inaongeza thamani yako kwa wateja
 5. Inaipa bidhaa yako nafasi ya kupenya kiurahisi kwenye soko na kuacha alama na kumbukumbu kwa wateja,hivyo inaweza kukupa wateja wa kudumu.

Je Umefikiria kutengeneza brand bora kwa ajili ya huduma au Biashara kupitia logo au website yenye ubora wa hali ya juu? karibu nikuhudumie kwa kubonyeza link ifuatayo contact me

Zingatia:Usitoe huduma kwa hisia na mawazo yako juu ya wateja wako bali wasikilize na utambue wanachohitaji ndio ufanye kwa ajili yao.

Back To Top